Tuna nafasi ya kuplay a mojor role in shaping the present and future of this nation. Tunapoelekea katika uchaguzi wa mwaka huu hebu tuwe serious na kufikilia mustakabadhi wa nchi hii, vijana wa sasa hii ni nchi yetu na tukabaliane ya kwaamba the present state na leaders we keep in power wana nafasi kubwa ya either kuaribu our present and future lives au kujenga.
Lakini tukumbuke uamuzi ni wetu, we have the key to get what we want! AND IT IS OUR VOTES!
Tusikubali kuuza haki hii ya msingi na muhimu, tusi'ignore politics. Tuwe makini na wote twende kushiriki katika kupiga kura this year. Kuwapigia viongozi makini bila kujali chama.... Huu si muda wa kuangalia chama bali kiongozi.
![]()
No comments:
Post a Comment