Showing posts with label demokrasia. Show all posts
Showing posts with label demokrasia. Show all posts

Thursday, April 5, 2012

Je Demokrasia Haikui Bila Damu Kumwagika?

Wabunge Wa CHADEMA Walioshambuliwa!
Hilo ndo swali ambalo limekuwa linakuja kwa akili yangu kwa sasa, kutoka Tunisia, Misri, Syria,  na sehemu zingine, hivi demokrasia haikui bila vurugu na hata umwagaji wa damu? By-election za Arumeru zimepita na chaguzi za udiwani pia, tumeona yaliyotekea. Hii ni pamoja na kushambuliwa kwa wabunge wa chama cha Chadema..